Karibu Tanzania

Tanzania is endowed with the rich cultural heritage of more than 120 ethnic tribes. The Cultural Tourism Program provides visitors with authentic cultural experiences that combine nature, scenery, folklore, ceremonies, dances, rituals, tales, art, handicrafts and hospitality and give a unique insight into their way of life.

Welcome to our Website

Mvule Tree

Mvule Tree
Mti huu ujulikanao kwa jina la Katembo au Mwale kwa lugha ya Kinyakyusa

Ngosi Crater Lake

Ngosi Crater Lake
Ziwa hili lijulikanalo kwa jila Ngosi lililoko Rungwe Mkoani Mbeya

About us

Karibu

We are not the tour operator or concern with any tourism safari, we do offer information concerning travel tips, healthy, visa and attractions we have in our country Tanzania.

karibu katika tovuti yangu ijulikanayo kama emilytour. Emilytour ni tovuti ambayo ipo kwa madhumuni ya kukuelimisha wewe mtanzania juu ya vivutia tulivyo navyo nchini kwetu na kukutaka wewe kama mtanzania kuweza kuvitembelea na kujionea uzuri wa asili tulio nao watanzania.

Emitour itakupeleka wewe mtanzania katika vivutio mbalimbali tulivyonavyo hapa Tanzania na kuviweka moja kwa moja katika tovuti hii nzuri ya kukuamasisha wewe mtanzania kutembelea au kufanya utalii wa ndani. Kwanini tusubiri watalii kutoka nje, je wewe mtanzania mwenzangu uko wapi?

Katika picha hapo chini ni mimi mwenyewe mwenye tovuti hii ye emilytour nikiwa ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro Crater kama unavyoona. 

Emiliany Kondela

No comments:

Post a Comment

Followers